Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu King Kikii amefariki dunia usiku wa kuamkia leo ...
Katika kupambana na janga la ogezeko la ajali za barabarani, Zanzibar imeendelea kubuni mikakati, safari hii kwa mara ya ...
Baadhi ya malalamiko kuhusu daftari la wakazi ni kuenguliwa wagombea, vikwazo katika kuchukua na kurejesha fomu, mapingamizi ...
Fedha za ujenzi wa kipande cha reli ni kutoka Benki ya Standard Chartered, Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Kampuni ya ...
Teknolojia ya kuzalisha bidhaa bora, mtaji na soko hususani la kimataifa vimetajwa kuendelea kuwa changamoto kwa ...
Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha (AICC) imeingia kwenye mgogoro mkubwa na wapangaji wake zaidi ya 450 baada ya ...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amewaomba radhi watu wote ambao ...
Dar es Salaam. Zaidi ya wachezaji gofu 200 kutoka nchi mbalimbali za Afrika watashiriki katika mashindano ya Tanzania Open ...
Kigoma. Baada ya kuibuka kwa taarifa kuhusu hali ya kiafya ya beki wa zamani wa Simba, Alphonce Modest, baba mzazi wa staa ...
Wakati kiwango cha dunia cha ulaji samaki kikiwa kilo 21 kwa mwaka kwa kila mtu, Zanzibar imekivuka na kufikia wastani wa ...
Baadhi ya wasomi wa Biblia na viongozi wa dini wameshauri kitengenezwe chombo kitakachofuatilia mienendo ya wahubiri na ...
Katika mazungumzo yetu ya mwisho mnamo Oktoba 10,2024 Lawrence alisikika kama mwenye matumaini, akiamini kwamba angepona.