Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana. Tanzania imeendelea kuimarisha ushirikiano wake na Urusi katika sekta ya misitu kwa lengo la kuboresha uhifadhi wa rasilimali zake kupitia teknol ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, ameungana na wanawake katika ...
Uzito mkubwa kwenye miguu unaweza kusababisha maumivu ya magoti, kupungua kwa nguvu za ligamenti, na mabadiliko katika kutembea.
Ikiwa kongosho hutoa insulini kidogo sana au mwili hautumii insulini ipasavyo, matatizo mengi ya kiafya yanaweza kutokea.
Ripoti mpya ya Chuo cha Monash imeonesha matukio ya unyanyasaji dhidi yawa Islamu wa Australia, yali ongezeka zaidi ya mara ...
Anasema, “Hii ni heshima kubwa inayothibitisha umuhimu wa hifadhi hii katika utalii wa imataifa.” Upandikizaji wa faru weupe ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea na mkakati wa kufungua milango ya ujasiriamali kwa kutekeleza sera ...
Ripoti hiyo imebaini wanawake hunenepa zaidi umri unavyozidi kuongezeka ikionyesha karibu nusu ya wanawake wenye miaka 40 ...
Unapofunga, unapoteza chumvi na maji kwenye haja zote, jasho, kupumua na kuongea. Hali hii huwa katika siku 2-4 za kwanza. Baadhi ya dalili za mapema ni kizunguzungu, uchovu na maumivu ya kichwa na ...
Kabla ya 1995, takwimu nyingi kuhusu ukatili dhidi ya wanawake, zilitoka katika tafiti ndogo ndogo za hapa na pale. Azimio la mwaka 1993 kuhusu Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake lilitaka serikali ...